1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

03.11.2016 Matangazo ya mchana

SK2 / S02S3 Novemba 2016

Kiongozi wa kundi la itikadi linalojiita Dola la Kiisilamu (IS) ametoa ujumbe kupitia mkanda wa vidio akiwahamasisha wafuasi wa kundi hilo waendelee kupigana dhidi ya vikosi vya serikali ya Iraq kuwania udhibiti wa mji wa Mosul// Rais wa Marekani Barrack Obama amewahimiza wafuasi wote wa chama cha Democratic kumpigia kura kwa wingi Hillary Clinton siku ya uchaguzi wiki ijayo.

https://p.dw.com/p/2S5Da