1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

03.08.2017 Matangazo ya asubuhi

TSA / S08S3 Agosti 2017

Zimesalia siku 5 Kenya kwenda kwenye uchaguzi mkuu hapo siku ya Jumanne wiki ijayo// Wapiga kura milioni sita na laki tisa waliosajiliwa nchini Rwanda watateremka vituoni kesho ijumaa // Mataifa ya bara la Afrika yanetakiwa kutunga sera zinazozingatia mazingira halisi ili kuondoa migogoro isio ya lazima baina ya nchi na nchi.

https://p.dw.com/p/2hc1l