1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

03.04.2017 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S3 Mei 2017

Nchini Tanzania, wakati dunia inaazimisha siku ya uhuru wa vyombo vya habari, ikiwa ni takribani miezi mitano tangu kusainiwa kwa sheria ya huduma ya vyombo vya habari iliyotajwa kama mwarobaini wa kadhi zinazowakumba waandishi wa habari// Katibu Mkuu wa chama cha Cuf nchini Tanzania, Maalim Seif Hamadi amesema yale yanayoendelea ndani ya chama hicho ni mapito ya muda.

https://p.dw.com/p/2cHMj