1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

03.01.2017 Matangazo ya mchana

SK2 / S02S4 Januari 2017

Waziri wa mambo ya ndani wa Ujerumani Thomas de Maiziere ametangaza mipango ya kuboresha sekta ya usalama// Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imefuta posho zote ambazo hazipo kwa mujibu wa sheria katika halmashauri zote nchini humo.

https://p.dw.com/p/2VEi5