1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

03.01.2016 Matangazo ya jioni

SK2 / S02S3 Januari 2017

Waziri mkuu wa Ururuki amesema hii leo kwamba anataraji serikali mpya ya Marekani kusitisha ugavi wa silaha kwa kundi la wanamgambo wa Kikurdi YPG la nchini Syria// Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi nchini Gambia, Alieu Momar Njai ameitoroka nchi hiyo// Waasi nchini Msumbiji wametangaza kurefusha kwa miezi miwili makubaliano ya kusitisha vita baina yao na serikali.

https://p.dw.com/p/2VD4g