1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

02.12.2016 Matangazo ya jioni

SK2 / S02S2 Desemba 2016

Rais wa Gambia Yahya Jammeh amekiri ameshindwa katika uchaguzi wa rais unaohitimisha miaka 22 ya utawala wake// Waasi nchini Syria leo hii wamekabiliana vikali katika mji uliozingirwa wa Aleppo// Ripoti iliyochapishwa hii leo na shirika la polisi la Ulaya, Europol inasema kuwa kundi la wanamgambo la dola la kiislamu huenda likafanya mashambulizi mapya katika Umoja wa Ulaya siku za usoni.

https://p.dw.com/p/2Teju