Jaji wa juu nchini Uhispania amesema mahakama za nchi hiyo zinaweza kutoa waranti ya Ulaya ya kukamatwa kwa rais wa zamani wa jimbo la Catalonia Carles Puigdemont// Shirika la Ujasusi la Marekani, CIA, limechapisha nyaraka zilizopatikana katika operesheni ya kumkamata kiongozi wa kundi la kigaidi la al Qaeda Osama bin Laden mwaka 2011.