Hali ya kisiasa nchini Kenya hakuna anayeweza kuitabiri kwa wakati huu baada ya muungano wa upinzani wa NASA kutokubaliana na kutangazwa kwa Uhuru Kenyatta kama rais mteule wa Kenya// Rais wa Urusi Vladimir Putin alizindua mnara wa kumbukumbu ya wahanga wa ugaidi wa Josef Stalin siku ya Jumatatu.