1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

02.11.2016 Matangazo ya mchana

SK2 / S02S2 Novemba 2016

Polisi nchini Uganda imewaagiza wanafunzi wote wa chuo kikuu cha Makerere kuondoka kwenye taasisi hiyo mara moja// Maafisa wa shirika la upelelezi la Marekani FBI, wanachunguza mamia ya barua pepe za mgombea urais wa tiketi ya chama cha Democratic Hillary Clinton// Shirika moja la misaada limeonya kuwa maisha ya raia zaidi ya milion moja yako katika hatari kubwa katika mji wa Mosul.

https://p.dw.com/p/2S1HZ