1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

02.09.2017 Taarifa ya habari ya Asubuhi

Sudi Mnette
2 Septemba 2017

Mahakama ya Juu kabisa nchini Kenya ambayo ilitoa uamuzi wa kihistoria wa kuufuta uchaguzi wa Agosti 8 uliompa ushindi Rais Uhuru Kenyatta ni mahakama ya juu nchini humo inayoundwa na majaji saba ambao hukumu yao ni ya mwisho na isiyopingwa.

https://p.dw.com/p/2jFHP
Kenia Wahl Annullierung Uhuru Kenyatta
Picha: picture-alliance/AP Photo/Kenya TV