1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

02.09.2017 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S2 Septemba 2017

Mahakama ya Juu nchini Kenya Ijumaa iliiamuru Tume ya Uchaguzi na Mipaka, IEBC, kuandaa uchaguzi mpya wa urais katika muda wa siku 60 zijazo kama inavyoeleza katiba, kufuatia kesi iliyofunguliwa na upinzani kupinga matokeo ya uchaguzi mkuu wa Agosti 8 uliompa Uhuru Kenyatta ushindi.

https://p.dw.com/p/2jFHQ