1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

02.08.2017 Matangazo ya mchana

SK2 / S02S2 Agosti 2017

Waangalizi wa Umoja wa Ulaya walioko nchini Kenya wameelezea wasiwasi baada ya Mkurugenzi wa teknolojia na mawasiliano wa tume ya uchaguzi ya IEBC kuuawa kinyama mwishoni mwa wiki iliyopita// Waziri wa ulinzi wa Ujerumani Ursula von der Leyen amesema nchi yake na Ufaransa zitazishawishi nchi nyingine za Ulaya kuunga mkono vita dhidi ya ugaidi katika ukanda wa Sahel.

https://p.dw.com/p/2hYsT