1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

02.08.2017 Matangazo ya jioni

SK2 / S02S2 Agosti 2017

Tume ya uchaguzi na mipaka nchini Kenya imefanyia majaribio mfumo wake wa kutangaza matokeo ya uchaguzi// Maafisa wa Umoja wa Falme za Kiarabu wametetea vikwazo vilivyowekwa na nchi hiyo pamoja na washirika wake dhidi ya Qatar// Wawakilishi wa serikali kuu ya Ujerumani, serikali kadhaa za majimbo na wale wa viwanda vya magari wanakutana mjini Berlin kujadailiana kuhusu hatima ya nishati ya Diesel.

https://p.dw.com/p/2hafS