1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

02.06.2017 Matangazo ya jioni

SK2 / S02S2 Juni 2017

Jamhuri ya Umma wa China na Umoja wa Ulaya wameahidi kuungana katika kuendeleza mapambano dhidi ya kuzidi hali ya ujoto duniani// Wamiliki wa punda mjini Naivasha wanahofia kudidimia kwa biashara zao kufuatia tishio linalowakumba wanyama wao// Katika tukio lisilo la kawaida, mwanafunzi mmoja wa shule ya msingi amefariki dunia baada ya kuadhibiwa na mwalimu wake huko visiwani Zanzibar.

https://p.dw.com/p/2e3mJ