1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

02.03.2017 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S2 Machi 2017

Rais wa Marekani Donald Trump ameingia tena katika msukosuko mwengine wa kisiasa baada ya kubainika Mwanasheria mkuu Jeff Sessions kudaiwa alifanya mazungumzo mara mbili na balozi wa Urusi// Wajumbe wa baraza la pili la bunge la Uingereza (House of Lords) wamepiga kura ya kutaka mswada wa Theresa May wa kuanzisha mazungumzo rasmi ya kuiondoa Uingereza katika Umoja wa Ulaya ufanyiwe marekebisho.

https://p.dw.com/p/2YWf6