Kansela wa Ujerumani Angela Merkel leo amewasili mjini Cairo, katika ziara yake ya siku mbili nchini Misri na baadae Tunisia// Geneva-Urusi leo hii imeushutumu ujumbe unaowakilisha upinzani wa Syria kwenye mazungumzo ya amani yanayoendelea// Donald Trump ameingia tena katika msukosuko wa kisiasa baada ya kubainika Mwanasheria mkuu Jeff Sessions kudaiwa alifanya mazungumzo na balozi wa Urusi.