1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

02.03.2017 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S2 Machi 2017

Rais Donald Trump alitumia siku zake 40 za mwanzo madarakani kwa kutoa amri za rais kama hatua ya kutikisa kibiriti kwa upande wa upinzani// Kansela wa Ujerumani Angela Merkel leo anaanza ziara ya mataifa mawili ya Afrika Kaskazini kutafuta washirika wapya katika suala la mgogoro wa wakimbizi// Wimbi la wakimbizi wa Sudan Kusini linaendelea kuingia kaskazini mwa Uganda.

https://p.dw.com/p/2YVGW