1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

01.12.2017 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S1 Desemba 2017

Leo ni siku ya kimataifa ya mapambano dhidi ya Ukimwi inayoadhimishwa kote ulimwenguni. Juhudi za kupambana na Ukimwi nchini Kenya zimechukua mkondo mpya baada ya takwimu rasmi kuweka bayana kuwa 51% ya maambukizi mapya yanatokea miongoni mwa vijana walio na umri wa miaka ya 15-24// Hali ya kisiasa nchini Kenya bado ni ya vuta nikuvute.

https://p.dw.com/p/2obkY