1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

01.12.2016 Matangazo ya jioni

SK2 / S02S2 Desemba 2016

Umoja wa Mataifa umesema katika kipindi cha siku kadhaa zilizopita umeweza kuwasadia karibu watu elfu 30 waliokimbia mapigano katika mji wa Aleppo nchini Syria// Siku ya Ukimwi Duniani- wataalamu wa afya wamekuwa wakiendelea na juhudi mbalimbali za kuandaa mikakati bora ya kufanikisha ajenda ya kukabiliana na maambukizi mapya ya virusi vya Ukimwi pamoja na kupata chanjo dhidi ya virusi hivyo.

https://p.dw.com/p/2Tb7E