1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

01.12.2016 Matangazo ya asubuhi

TSA / S08S1 Desemba 2016

Sindano ya kinga dhidi ya ugonjwa wa UKIMWI inafanyiwa majaribio nchini Afrika Kusini ambako idadi ya watu wengi zaidi walio na maambukizi hayo inapatikana nchini humo// Huko nchini Tanzania, hospitali ya taifa ya nchi hiyo Muhimbili leo inazindua mpango wa kufanya uchunguzi wa Virusi vya Homa ya Ini Hepatitis B.

https://p.dw.com/p/2TYaB