1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

01.11.2017 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S1 Novemba 2017

Rais wa Urusi Vladimir Putin amewasili katika mji mkuu wa Iran, Tehran kwa ziara inayochukuliwa na uongozi wa Jamuhuri hiyo ya Kiislam kama upinzani wa wazi dhidi ya sera ya nchi za nje ya Marekani// Vuguvugu la vyama vya upinzani maarufu Rassemblement nchini Kongo, limeelezea kwamba litaridhia kuahirishwa kwa uchaguzi hadi mwaka ujao ikiwa rais Kabila atang'atuka madarakani.

https://p.dw.com/p/2ms1c