1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

01.11.2016 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S1 Novemba 2016

Clinton na Trump wa Republican wameendelea kurushiana maneno na kukabana koo katika dakika za lala salama za kampeni zao// Nchi nyingi zimetangaza ahadi ya kuendelea kuiunga mkono mahakama ya Kimataifa inayoshughulikia kesi za jinai ICC// Akizungumza katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, mkuu wa shughuli za misaada ya kibinaadamu wa umoja huo amesema hali inazidi kuzorota nchini Yemen.

https://p.dw.com/p/2Ryli