1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

01.11.2016 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S1 Novemba 2016

Mosul, Iraq- Wapiganaji wa kundi la kigaidi linalojiita Dola la Kiislamu, IS, jumamosi iliyopita wamewauwa askari wa zamani wa vikosi vya usalama vya Iraqi wapatao 40// Waziri wa uchumi wa serikali kuu ya Ujerumani, Sigmar Gabriel, akifuatana na ujumbe mkubwa wa wafanya biashara, ameanza hii leo ziara rasmi ya siku tano katika jamhuri ya umma wa China.

https://p.dw.com/p/2Rzig