1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

01.09.2017 Matangazo ya asubuhi

TSA / S08S1 Septemba 2017

Wakenya wanaisubiri kwa hamu kauli ya mahakama ya juu kuhusu kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi yaliyompa ushindi Uhuru Kenyatta mwanzoni mwa mwezi wa Agosti// Waumini wa dini ya Kiislamu kote ulmwenguni wanaadhimisha sikukuu ya Eid al Adha hii leo// Lebanon inajiandaa kwa fursa za kibiashara katika mchakato wa kuijenga upya Syria.

https://p.dw.com/p/2jBVt