1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

01.08.2017 Mtangazo ya Jioni

SK2 / S02S1 Agosti 2017

Nchini Kenya hali bado ni tete, leo kulibuka habari ya kutoweka kwa Msemaji wa Jeshi la Kenya Kanali Joseph Awouth ambae hata hivyo pamoja na kutoweka kwake tangu Ijumaa aliibuka na kusema yupo salama// Rais wa Rwanda Paul Kagame, ambaye yuko madarakani kwa muda wa miaka 17 sasa, ametabiri jana Jumatatu kwamba atashinda uchaguzi wa hapo Agosti 4 kwa wingi mkubwa .

https://p.dw.com/p/2hWPi