1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

01.08.2017 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S1 Agosti 2017

Siku moja baada ya maiti ya aliyekuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano, Habari na Teknolojia wa Tume Huru ya Mipaka na Uchaguzi ya Kenya, IEBC, Chris Msando, kupatikana, viongozi wa upinzani nchini humo sasa wanataka nafasi hiyo apewe mtaalamu wa masuala hayo kutoka nje wakidai kuwa vyenginevyo uchaguzi wa tarehe nane hautakuwa wa haki// Zimebaki siku tatu kabla ya uchaguzi wa rais nchini Rwanda.

https://p.dw.com/p/2hV3q