Hali ya mkanganyiko inaendelea kushuhudiwa nchini Uingereza// Miili inayoaminika kuwa ya wakili na mtetezi wa haki za binadamu aliyekuwa ametoweka pamoja na dereva wa taksi aliyokuwa akisafiria imepatikana// Ugonjwa wa kifua kikuu umetajwa kuwa kitisho katika nchi za Afrika Mashariki.