1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

01.06.2018 Matangazo ya mchana

SK2 / S02S1 Juni 2018

Viwango vipya vya ushuru vilivyowekwa na serikali ya Rais Donald Trump wa Marekani dhidi ya bidhaa za chuma na bati kutoka nchi washirika vimeanza kutekelezwa usiku wa kuamkia leo// Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa limezipa pande hasimu nchini Sudan Kusini muda wa mwezi mmoja kufikia makubaliano ya amani la sivyo wawekewe vikwazo.

https://p.dw.com/p/2ynZO