1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

01.03.2017 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S1 Machi 2017

Rais wa Marekani, Donald Trump kwa mara kwanza amelihutubia bunge la Marekani// Majeshi ya Iraq yanayoungwa mkono na Marekani yamelidhibiti eneo la mwisho lililokuwa linashikiliwa na wapiganaji wa kundi la kigaidi linalojiita Dola la Kiislamu IS magharibi mwa mji wa Mosul// Mgombea Urais wa wahafidhina wa chama cha Republican nchini Ufaransa Francois Fillon anakataa kujiondoa kwenye mbio hizo.

https://p.dw.com/p/2YTt8