1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

01.03.2017 Matangazo ya Asubuhi

V2 / S12S1 Machi 2017

Lawama dhidi ya vyombo vya habari, zinazokuzwa na mitandao ya kijamii, zinaongezeka tangu mrengo wa kushoto mpaka wa kulia mnamo wakati huu wa kampeni za uchaguzi wa rais nchini Ufaransa// Baada ya kumalizika kwa utawala wa zaidi ya miongogo miwili wa rais Yahya Jammeh, Wagambia sasa wameanza kutafuta haki kwa ndugu na jamaa waliotoweka wakati wa utawala huo wa kikandamizi.

https://p.dw.com/p/2YQSK