1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

01.02.2017 Matangazo ya mchana

SK2 / S02S1 Februari 2017

Viongozi wa nchi wanachama wa Umoja wa Afrika, wameidhinisha kile kinachoitwa wito wa mkakati wa hatua ya pamoja ya kujitoa katika mahakama ya uhalifu ya kimataifa- ICC// Rais mpya wa Marekani Donald Trump amemteuwa jaji Neil Gorsuch kuwa mwanachama wa korti kuu// Raia 124 walikabidhiwa jana kwa polisi ya Burundi kwenye mpaka wa DRC.

https://p.dw.com/p/2WmWt