
Kombe la Dunia la FIFA 2026 linafanyika kwa mara ya kwanza katika nchi tatu — Marekani, Mexico na Kanada — likiwa na timu 48 badala ya 32. Mashindano haya ndiyo makubwa zaidi katika historia ya soka duniani.
Kusikiliza matangazo, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi: kiswahili@dw.com
Mashambulizi ya Marekani na Israel dhidi ya Iran yalisababisha kifo cha Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei Februari 28, 2026. Iran ilijibu kwa kurusha makombora dhidi ya Israel na katika mataifa ya Ghuba.