1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Özil ajitoa timu ya Ujerumani

Yusra Buwayhid
23 Julai 2018

Kiungo wa timu ya taifa ya Ujerumani Mesut Ozil mwenye asili ya Kituruki ametangaza kujitoa katika timu hiyo na kutaja sababu za ubaguzi wa rangi na asili baada ya kulaumiwa na Wajerumani wengi kwa kushindwa kwa timu hiyo katika michuano ya Kombe la Dunia 2018. Kwani kushindwa kwa timu si huwa kosa la wachezaji wote au wewe unasemaje?

https://p.dw.com/p/31vns