Zuma asema hatishwi na maandamano | Media Center | DW | 13.04.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Zuma asema hatishwi na maandamano

Rais wa Marekani Donald Trump abadilisha mtizamo wake kuhusu NATO akiitaja ngao ya amani na usalama. Polisi Ujerumani yasema aliyekamatwa kuhusiana na shambulizi la Dortmund siye aliyeshambulia basi la timu hiyo. Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma asema hatiwi wasiwasi na maandamano ya kumtaka ajiuzulu na Waziri mkuu mpya wa DRC afanya mazungumzo ya kuunda Serikali. Papo kwa Papo 13.04.2017

Tazama vidio 01:49
Sasa moja kwa moja
dakika (0)