Zoezi la Uandikishaji wapiga kura visiwani Zanzibar | Matukio ya Kisiasa | DW | 14.09.2009
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Zoezi la Uandikishaji wapiga kura visiwani Zanzibar

Uandikishaji kwa wapiga kura kisiwani Pemba bado kuna matatizo.

default

Mji Mkongwe wa Zanzibar

Zoezi la kuandikisha wapiga kura kwenye daftari la kudumu la wapiga kura linaendelea visiwani Zanzibar kukiwa bado na matatizo yanayojitokeza na hali ikielezwa kuwa mbaya katika kisiwa cha Pemba. Kutokana na hali hiyo Majeshi ya usalama yameimarishwa kisiwani humo. Grace Kabogo amezungumza na mwandishi wetu Salma Said akiwa Pemba  na alianza kwa kumuuliza hali halisi ikoje kisiwani humo.

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com