1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ziwa Turkana lipo hatarini

Sudi Mnette
3 Agosti 2018

Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni UNESCO limelijumuisha Ziwa Turkana ambalo ni muhimu sana nchini Kenya kama sehemu ya chimbuko la binadamu, katika orodha ya turathi zinazokabiliwa na hatari ambapo wataalamu hao wameonesha kwamba athari za bwawa la Ethiopia zinaongeza kitisho katika eneo hilo.

https://p.dw.com/p/32b6H