1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ziwa Tanganyika lipo hatarini kukauka

Sylvia Mwehozi
16 Oktoba 2017

Katika Makala ya Mtu na Mazingira Prosper Kwigize anaangazia kwa kina tishio la ziwa Tanganyika ambalo lipo hatarini kukauka. Takwimu zinaonyesha kwamba kina cha maji kimepungua sana. Karibu uweze kuelimika.

https://p.dw.com/p/2luk0