Ziwa Ol Bolossat hatarini kutoweka | Masuala ya Jamii | DW | 16.02.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Mtu na Mazingira

Ziwa Ol Bolossat hatarini kutoweka

Wataalmu wa kulinda mazingira wanaonya kwamba kiasi cha maji katika Ziwa Ol Bolossat lililopo nchini Kenya kinapungua maji kwa kasi. Hii ni kutokana na shughuli za kibinadamu kama vile ujenzi wa nyumba.

Sikiliza sauti 09:45

Sikiliza makala ya Mtu na Mazingira

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com