Zitto amgomea waziri wa mambo ya ndani Tanzania | Matukio ya Afrika | DW | 01.08.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Zitto amgomea waziri wa mambo ya ndani Tanzania

Waziri wa mambo ya ndani nchini Tanzania, Kangi Lugola amemtaka mbunge wa Kigoma Mjini na kiongozi wa chama cha upinzani nchini humo cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe kujisalimisha kwa kamanda wa polisi wa mkoani Lindi kwa madai ya kutoa kauli za uchochezi. Hata hivyo Zitto amesema waziri Lugola hana mamlaka ya kumkamata. Lillian Mtono amezungumza na Zitto katika mahojiano hapo chini.

Sikiliza sauti 02:49