″Zitto ametukashifu Wazanzibari″ | Matukio ya Kisiasa | DW | 25.11.2015
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

"Zitto ametukashifu Wazanzibari"

Mgombea wa ubunge Zanzibar kupitia CCM, Mohammed Said, asema si sawa kwa Zitto Kabwe kudai kuwa Mohammed Shein amefanya uhaini. Zitto Kabwe alisema hivyo alipozungumzia mkwamo wa kisiasa wa Zanzibar.

Sikiliza sauti 02:39

Msikilize Mohammed Said katika mahojiano na Isaac Gamba

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com