1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Zifahamu athari za kukata Kimeo au Kilimi

18 Julai 2022

Kurunzi Afya leo inakukutanisha na Daktari wa hospitali ya Mwananyamala nchini Tanzania akitoa ufafanuzi kuhusu ukataji wa Kimeo au Kilimi na athari zake. Pata muda kidogo kumsikiliza maana hilo ni suala muhimu katika jamii yetu ambayo ukataji vimeo kwa njia za kienyeji limefanywa kuwa jambo la kawaida.

https://p.dw.com/p/4EJPa