1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ziara ya Scholz Kenya

5 Mei 2023

Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz aendeleza ziara yake barani Afrika. Scholz amewasili Kenya leo na kupokelewa na Rais William Ruto katika ikulu ya rais jijini Nairobi. Je ni mambo gani viongozi hao wanatarajia kuyapa kipaumbele kwenye mazungumzo yao? #Kurunzi inamulika zaidi.

https://p.dw.com/p/4Qwin