1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ziara ya Ruto Marekani ina maslahi gani?

23 Mei 2024

Rais wa Kenya William Ruto yuko ziarani nchini Marekani na alikutana na Rais Joe Biden wa Marekani katika Ikulu ya White House. Miongoni mwa mambo mengine Biden, ameitaja Kenya ambayo si mwanachama wa jumuiya ya kujihami ya NATO kuwa mshirika wake mkuu. Je kauli hii ina maana gani kwa mahusiano ya mataifa hayo mawili? Dkt. Alutalala Mukhwana atatoa tathmini.

https://p.dw.com/p/4gDAF