Ziara ya Naibu Spika Claudia Roth nchini DRC | Matukio ya Afrika | DW | 11.06.2014
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Afrika

Ziara ya Naibu Spika Claudia Roth nchini DRC

Naibu spika wa bunge la Ujerumani Bi Claudia Roth, yuko ziarani Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Claudia Roth, Naibu spika wa bunge la Ujerumani

Claudia Roth, Naibu spika wa bunge la Ujerumani

Hapo jana Bi Roth alikutana kwa mazungumzo na maafisa wa ngazi ya juu katika serikali mjini Kinshasa. Mengi yalijadiliwa mukiwemo ulinzi wa mbuga ya wanyama ya Virunga ambayo inadhaniwa huenda ikatoweka kutokana na mpango wa kuchimba mafuta katika mbuga hiyo.
John Kanyunyu na ripoti kamili kutoka Kinshasa. Kusikiliza ripoti hiyo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Mwandishi: John Kanyunyu

Mhariri: Josephat Charo

Sauti na Vidio Kuhusu Mada