1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ziara ya Kamishna wa Umoja wa Ulaya Louis Michel nchini DRC

11 Desemba 2008

Ziara ya Bw. Louis Michel ina lengo la kumaliza ghasia kwenye eneo la maziwa makuu.

https://p.dw.com/p/GDxb
Kamishna wa Umoja wa Ulaya Bw. Loius MichelPicha: EU

Umoja wa ulaya umetolewa wito wa kupeleka vikosi vyake kwenye eneo hilo jambo ambalo halijapata ridhaa ya wanachama wote wa EU.Kadhalika bwana Louis Michel amemwasilsihia waraka maalum kiongozi wa waasi Jenerali Laurent Nkunda.

Kutoka Goma John kanyunyu ameandaa taarifa ifuatayo.