Zanzibar yaelekea uchaguzi mkuu wa tano | Tanzania Yaamua 2015 | DW | 15.09.2015
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Tanzania Yaamua 2015

Zanzibar yaelekea uchaguzi mkuu wa tano

Tanzania iko katika hekeheka za uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, ukiwa ni wa tano tangu mfumo wa vyama vingi kurejeshwa na Zanzibar inashuhudia tena mchuano mkali kati ya CCM na CUF.

Katika maoni mbele ya meza duara, macho yameelekezwa visiwani Zanzibar kuelekea uchaguzi mkuu. Matarajio, ilani za vyama na masuala makuu yanayojadiliwa na wengi miongoni mwa raia. Mohammed Abdul-Rahman amewaalika Hamza Hassan Juma kutoka CCM, Enzi Twalibu, Ali Swaleh na mwanasheria Ali Awadh Said, aliekuwa mjumbe wa tume ya kukusanya maoni ya wananchi kuhusu katiba mpya.

Unaweza kusikiliza kipindi kwa kubonyeza alama kisikilizio hapo chini.

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com