1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Zanzibar: Waziri Hamza juu ya uamuzi wa CCM kuhusu serikali ya Umoja wa Kitaifa

16 Februari 2010

<p>Halmashauri kuu ya taifa ya chama tawala cha mapinduzi, CCM, huko Tanzania , ilikutana kwa faragha kwa siku mbili huko Dodoma hadi jana usiku.

https://p.dw.com/p/M3F0
Kisiwa cha ZanzibarPicha: Stefan Pommerenke
Na kati ya mambo yaliokabiliwa na kikao hicho kuyajadili ni hali ya kisiasa Viswani Zanzibar baada ya Baraza la wawakilishi, kwa kauli moja, kulikubali pendekezo la kuundwa serikali ya Umoja wa Taifa. Lakini  CCM ilisema  jana  kwamba serikali hiyo ya Umoja wa kitaifa inayowazwa iwe baada ya  kufanyika uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu.

Othman Miraji amezungumza kwa njia ya simu na waziri wa nchi katika ofisi ya waziri kiongozi wa Zanzibar, Hamza Hassan Juma, juu ya uamuzi huo.

Mahojiano:Othman Miraji/Waziri Hamza Hassan

Mhariri:Abdul-Rahman,Mohamed.