Zanzibar: Wanawake wachuuzi wa samaki minadani Pemba | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 23.09.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Zanzibar: Wanawake wachuuzi wa samaki minadani Pemba

Karibu kwenye minada ya samaki kisiwani Pemba utawakutana na wanawake hawa ambao wameanza kushuhudiwa wakiwa sehemu ya kukuza pato kwa kushiriki minada ya ununuzi na uuzaji wa samaki ili kujisaidia kujikimu, kujiimarisha kiuchumi pamoja na kusaidia familia zao. Ahmad Juma na mengi zaidi kwenye Kurunzi ya Wanawake

Tazama vidio 02:35