1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Zanzibar: Tume ya Katiba wakutana na baraza la wawakilishi

15 Oktoba 2012

Wajumbe wa Baraza la wawakilishi wa Zanzibar, jana walikutana na tume ya katiba mpya ya muungano na kujadili mambo kadhaa likiwemo suala la muundo wa muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

https://p.dw.com/p/16Q4C
Mji Mkongwe wa Zanzibar
Mji Mkongwe wa ZanzibarPicha: Stefan Pommerenke

Katika mkutano huo kulikuwa na mgawanyiko mkubwa kuhusu muundo wa sasa wa muungano.Kutoka mjini Unguja nilizungumza na Mwandishi habari na mchambuzi Salim Said Salim na kwanza nilitaka kujua tofauti iliyopo miongoni mwa wajumbe wa baraza hilo inaleta sura gani katika siasa za Zanzibar.

(Kusikiliza mazungumzo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi: Sudi Mnette

Mhariri: Mohammed Abdul-rahman