1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Zanzibar kujenga jengo refu zaidi kusini mwa Sahara

Salma Said26 Agosti 2021

Juhudi zinazoendelea za Zanzibar kujenga uchumi imara chini ya utawala wa serikali ya umoja wa kitafa umepata msukumo mkubwa baada ya mwekezaji mmoja wa kimataifa kutangaza mpango wa kujenga jengo kubwa la kisasa lenye ghorofa sabini na mbili itakayotumika kama hoteli ya kitalii.

https://p.dw.com/p/3zX7S